Sambaza

Cardi B Asherehekea Miaka 27 ya Kuzaliwa

RAPA nyota, Cardi B, wiki iliyopita Ijumaa 11, alisherehea kutimiza miaka 27 ya kuzaliwa kwake.

Katika shamra hizo aliungana na mumewe Offset na dada yake Hennessy Carolina.

Staa huyo ambaye ni mshindi wa tuzo ya Grammy, alijimwaya kwa makulaji na manywaji ya kila aina ambapo mumewe alimzawadia pambo la almashi.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey