Sambaza

Zari Ainanga Kenya Airways, Asema Imemwibia Pafyumu Zake

SHIRIKA la ndege la Kenya limenisikitisha.  Nimekuwa mwaminifu, lakini bado linanikosea.  Kuna nyakati nimepuuza, lakini si leo.  Pafyumu zangu zote nilizopata kama zawadi kutoka kwa marafiki zangu, Dubai, zimepotea…

Tusipuuze ukweli kwamba safari zenu zimekuwa zikicheleweshwa bila hata kuwapa maelezo abiria, lakini  nilipuuza.  Sijawahi kusafiri kwa ndege za KQ kwa muda unaotakiwa  Aibu yenu……..

HIYO (JUU NA CHINI) NI SEHEMU YA MANENO YANAYODAIWA KUTOLEWA NA MREMBO ZARI HASSAN (The Bossy Lady)

Let’s not ignore the fact that your flights are always delayed and no explanations is given to passengers, still I ignored. I’ve never been on a KQ flight thats on time. Shame on you. @officialkenyaairways  you have my return date better make sure someone finds me in the lounge and return what belongs to me. I didn’t travel for free, you set me back $2440, now i want what’s mine back Periodt! And we will end this relationship in peace.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey