Sambaza

Dada wa Cardi B Awananga Wanaomkashifu Nduguye

DADA wa msanii Cardi B aitwaye  Hennessy Carolina, amewashambulia katika mtandao wa Instagram watu wanaomtukana nduguye huyo kwamba hana elimu wala utamaduni wa kujivunia na kwama badala yake anajaribu kujifanya mtu mweusi na kutumia utamaduni wa weusi ili kupata kiki.

Hennessy amefichua kwamba yeye na Cardi walisoma shule ya uhakika ya muziki  na kwamba utamaduni wao ni muziki wa hip-hop na kwamba mama yao, wanafunzi na marafiki wamekuwa wakisikiliza muziki huo tangu zama.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey