Rihanna atangaza rasmi ujio wa kitabu chake
MWANAMUZIKI maarufu, Rihanna Fenty, amesema atatoa kitabu chake cha fasheni kiitwacho FENTY siku ya Oktoba 19 mwaka huu.
Rihanna ni mshindi wa mara tisa wa tuzo ya Grammy akiwa msanii wa kurekodi, mwandishi wa nyimbo, mwigizaji mtoa misaada kwa jamii na mjasiriamali ambapo ameuza albamu milioni 60 na rekodi za dijitali milioni 215.
Toa Maoni Yako Hapa