Sambaza

Wendy Williams Amepata Heshima Ya Hollywood Walk Of Fame

Mtangazaji Wendy Williams amepata heshima ya Hollywood Walk of Fame, na wakati akiwa eneo hilo aliongea na mtangazaji na aliulizwa ni vigezo vipi anatakiwa awenavyo mwanaume atakae mtaka kimapenzi kwani mtangazaji huyo mwenye miaka 55 yupo single hadi sasa

Wendy hakusita kutaha sifa hizo na kusema kuwa wawe na mawasiliano mazuri na mwanaume huyo awe tayari kubadilika.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey