Sambaza

Rayvanny na Willy Paul Haziivi, Kisa ‘Chuchumaa’

Supastaa wa Kenya Bwana Mkunaji, Willy Paul na msafi Rayvanny wameamua kuonyesha sura zao halisi  kwa kuanzisha kitu kinachoitwa ‘bifu la mtandani’ huku sababu ikiwa ni nyimbo zao ‘chuchuma’ na ‘chuchuma’.

Kwa mujibu wa Ghafla, bifu hiyo ilianza wakati wawili hao walipokuwa wakifanyia kazi wimbo mmoja ambao walipanga kuutoa kama moja ya kolabo zao lakini mambo yakaharibika baadaye kila mmoja aliuachia wimbo huo kwa jina lake. 

 

Kilichotokea, wasanii hawa walishindwa kukizungumzia hivyo kila mmoja aliamua kuonyesha jeuri yake.

Willy Paul alianza kwa kuachia wimbo huo kwa jina la ‘Chuchuma. Mwezi mmoja baadae, Vanny Boy aliachia wimbo huo huo kwa jina la chuchumaa.

 

Nyimbo zote zina idea moja ambapo ameimbiwa mtoto wa kike akisifiwa uzuri, Kwa mujibu wa Willy Paul, Rayvanny ndiye aliiba wimbo huo ndiyo maana Willy Paul kwenye wimbo wake anasikika akimuita Rayvanny ‘Funny Boy’ badala ya Vanny Boy.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey