Sambaza

Davido Na Mpenzi Wake Wamefanikiwa Kupata Mtoto

 

 

STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na mpenzi wake mrembo, Chioma siku ya Jumapili Oktoba 20 wamefanikiwa kapata mtoto mwengine wapili ambaye ni wakiume .

Kupitia ukurasa wa instagrama wa Davido ameshare picha akiwa amemshika mtoto huyo na kumpongeza mpenzi waka kwa kujifungua salama.

Davido ameandika   “OMOBA TI DE!!! DAVID ADEDEJI IFEANYI ADELEKE Jr I !! D PRINCE IS HERE!!!! 20 – 10 – 2019 !!! Love you my STRONG WIFE!!! @thechefchi I LOVE YOU!!!!! ??”

Davido na Chioma kwasasa wapo kwenye hatua za mwisho za kufunda ndoa mwakani 2020.
.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey