Diddy Amuaenzi Kim Porter Wiki 3 Kabla Ya kumbukizi Ya Kifo Chake
Wakati zikiwa zimebaki wiki 3 kabla ya kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa girlfriend wa nguli wa muziki Sean ‘Diddy’ Combs. Stat huyo ameonyesha upendo wake kwa marehem baada ya kushea picha ya watoto wake kupitia ukurasa wake wa IG
Ni mwaka unakaribia kuisha tangu Kim Porter aliyekuwa mpenz wa Diddy afariki ghafla.
Toa Maoni Yako Hapa