Sambaza

Future Kizimbani Kwa Kukwepa Majukumu Ya Kifamilia

RAPA Future huwenda akapandishwa kizimbani baada ya Cindy Renae Parker kufungua mashtaka juu ya rapa huyo kwa kukwepa majukumu yakifamilia baada ya mwanamke huyo kujifungua mtoto anaeitwa Legend Ary.

Mtandao wa TMZ umeripoti Cindy Renae Parker amejaribu sana kumtafuta na kuongea na Future, lakini juhudi zake hazikuzaa matunda.

Huyu ni mtoto wa nane kwa Rapper Future na kama kawa Drama za kukwepa kwepa watoto kwa Future hazijaisha kama ilivyotokea miezi miwili iliopita kwa Eliza Seraphin nae alifugua shitaka kama hilo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey