Khaligraph Jones Adokeza Ujio Wa Ngoma Yake Mpya, Rayvanny na Chin Beez
RAPA kutoka pande za Kenya, khaligraph Jones ameonyesha kusubiri kwa hamu tarehe rasmi ya kuachia kwa ngoma yake alioshirikiana na wakali wa wawili kutoka Tz, Ray Vanny na Chin Beez.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Khaligraph Jones amepost kipande cha video fupi akiwa anacheza ngoma hiyo, huku akiwauliza mashabiki zake nili waachie hiyo ngoma .
Toa Maoni Yako Hapa