Offset Afunguliwa Mashtaka Na Bebi Mama Wake

Mmoja ya wanawake wa Offset aliye fanikiwa kupatanae mtoto mmoja amefanya amechukua maamuzi ya kumpeleka rapper huyo mahakamani baada ya Offset kutopeleka maitaji ya mtoto wao.
Mwanamke huyo anaejulikana kwa jina Nicole Marie maarufu kwa jina lake la kisanaa Shya L’Amour amefanya hivyo kwa lengo la kupata haki ya kusaidiwa kulea binti yao Kalea.
Toa Maoni Yako Hapa