Sambaza

Sapraizi ya Kanye Yampagawisha Kardashian

RAPA Kanye West amempatia Kim Kardashian ambaye ni mama watoto wake kitu kisichoweza kusahaulika wakati bi’dada huyo akisheherekea miaka 39 ya kuzaliwa, juzi Oktoba 21.

Akiwa na designer wake, Kanye alimzawadia Kim kwa kuchangia dola za kimarekani million moja kwa ajili ya charities zinazopendwa na Kim kwa kutumia jina la Kim Kardashan West.

Kim alionyesha cheti katika mtandao wa Twitter, kimeandikwa, “Nimepata zawadi za kushangaza kutoka kwa familia yangu nzima na Kanye kwa mimi ni zawadi za kushangaza.

“Lakini pia Kanye alichangia dola za kimarekani milioni moja kwenye charities nazozipenda zinazofanya kazi ngumu kwenye jela kwa ajili yangu, yeye na Watoto. Hii inafanya moyo wangu kuwa na furaha!” aliandika Kim.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey