Sambaza

DIDDY KUBADILI TENA JINA

Rapa na producer maarufu nchini Marekani ‘Diddy’ ambaye siku za nyuma alibadilisha jina la usanii (Puff Daddy, P. Diddy, Puffy, mpaka kuitwa Diddy), amesema kwa sasa ana mpango tena wa kubadilisha jina lake halisi.

Kulingana na hati halali zilizojazwa katika Mahakama ya Los Angeles, zimebanaisha kuwa Diddy anaomba kubadilisha kihalali jina lake la kati, hivyo kutoka kuitwa Sean John Combs sasa ataitwa Sean Love Combs.

Karibu miaka miwili sasa toka Diddy alipotangaza kupitia video katika mtandao wa Twitter, “Niliamua kubadili jina langu tena” Jina langu jipya ni LOVE aka Brother Love. #TakeDat.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey