Sambaza

AKON AACHIA ALBAMU YAKE MPYA

Mwanamuziki Aliaune Damala Badara Akon Thiam maarufu kwa jina la ‘Akon’ ameachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Akonda’.
Akon ambaye ni Raia wa Senegal anayefanya kazi zake za muziki nchini Marekani, amekuja na albamu hiyo yenye nyimbo 10, ambazo asilimia kubwa zinahusu Bara la Afrika.
Baadhi ya wasanii ambao wameshirikishwa katika albamu hiyo ni Olamide katika wimbo unaoitwa ‘Scammers’ na Skales katika wimbo unaoitwa ‘Control’.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Akon ameposti picha inayohusu albamu hiyo.
Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey