Sambaza

Nelly Ajitua Mzigo Wa Kesi Ya Unyanyasaji Wa Kingono

Rapper Nelly amefanikiwa kuimaliza kesi yake ya unyanyasaji wa kingono baada ya kukubaliana na mshtaki kumalizana wao binafsi bila kuhusisha mahakama.

Nelly alishtakiwa huko England na mwanamke huyo aliyedai kuwa Nelly alimlazimisha mwanamke huyo kufanya oral sex kwenye tamasha la Essex.

Mshtaki Jane Doe alimwambia hakimu kuwa yeye na Nelly watalimaliza nje ya mahakama

Mpaka sasa haijajulikana ni vipi watamalizana na kama ni kiasi kitatoka pia bado ni siri.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey