Sambaza

Akothee na Ommy Dimpoz watikisa kwenye tuzo za Afrimma

Akothee aliandika historia na kuiibeba vyema bendera ya Kenya kwenye tuzo hizo na aliibuka bora katika kipengele cha Msanii bora wa Kike Afrika Mashariki.

Katika kipengele hicho, Akothee alikuwa akishindana na:

Vinka — Uganda

Victoria Kimani — Kenya

Vanessa Mdee — Tanzania

Akothee — Kenya

Nandy — Tanzania

Sheebah Karungi — Uganda

Fena Gitu (Fenamenal) — Kenya Knowles

Butera — Rwanda Rema Namakula — Uganda

Juliana Kanyomozi — Uganda

Upande wa madume, mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz aliipeperusha juu kwa juu bendera ya Tanzania na hatimaye kuibuka mshindi wa kipengele cha Msanii bora wa Kiume Afrika Mashariki. Ommy Dimpoz aliwabwaga wanamuziki wazito mfano Alikiba, Diamond Platnumz, Harmonize Rayvanny, Khaligraph Jones, Nyashinski na wengine.

Katika kipengele hicho, Akothee alikuwa akishindana na 

Diamond Platnumz — Tanzania

Harmonize — Tanzania

Nyashinski — Kenya

Juma Jux — Tanzania

Eddy Kenzo — Uganda

Khaligraph Jones — Kenya

Ommy Dimpoz — Tanzania

Rayvanny — Tanzania

The Ben — Rwanda Read

Alikiba _ Tanzania

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey