Sambaza

Davido Aachia Ngoma Mpya

MWANAMUZIKI nyota kutoka nchini Nigeria Davido ameachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Risky’. Katika wimbo huo, Davido amemshirikisha msanii kutoka Jamaica Popcaan.RISK

Wimbo huo ni mwendelezo wa freestyle yake iliyokwenda hewani ‘Kilo kan mi’ katika kipindi cha radio
Hot 97, huko New York mnamo Februari mwaka huu ambapo alisema utakuwa wimbo wa kwanza kwenye albamu yake inayokuja ya Good Time.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey