Sambaza

Davido kuwaburuza kotini ndugu wawili kwa madai ya kupakaziwa mimba

Davido aapa kuwaburuza kotini kinadada ndugu Helen na Suzana kufuatia video yao kutrend nmoja wao akidai kupachikwa mimba na Davido kisha kutelekezwa. Davido anadai kuchoka kupakaziwa mimba za kinadada hivyo safari hii watamtambua kwani hataki mazoea hayo kabisa .
.
Hiyo imekuja ikiwa ni wiki chache tangu Chioma mchumba wa Davido ajifungue nchini Uingereza

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey