Sambaza

Kanye west atamba yeye ni msanii mkubwa kuliko wote

 

Kama kuna kitu ambacho mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya Rap Kanye West anajivunia kuwa nacho ni kujiamini. Aliwahi kujiita “mbunifu wa hali ya juu” na kuongeza kuwa “muziki wake ni bora”, bila kusahau kutaja wakati mmoja alisema ana mpago wa kugombea kiti cha urais wa Marekani.

Katika mahojiano yake ya mwisho na mtangazaji wa, with Beats 1, Zane Lowe, aliangazia brand ya muziki wake.

Hakuzungumzia filamu za ngono tu, bali pia aligusia masuala ya kidini na kuongeza kuwa: “Anaamini yeye ndiye msanii bora zaidi duniani.” “Yaani hilo halina mjadala tena.” alisema. Anaagazia suala la dini katika kila nyimbo zake na pia kila Jumapili ,ameanzisha ibada yake binafsi ambayo inahudhuriwa na waalikwa pekee, na inayojumuisha mchanganyiko wa miziki tofauti ya injili na kwaya ya kidini.Albamu yake mpya-ambayo aliiachia siku ya Ijumaa – inafahamika kama Jesus is King, kumaanisha Yesu ni Mfalme na ameaahidi kutoa albamu nyingine kwa jina Jesus is Born-yaani Yesu Amezaliwa msimu wa Krismasi.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey