Sambaza

Akon adondosha goma jipya akimshirikisha Kizz Daniel

Mwimbaji wa kimataifa mzaliwa wa Senegal, Akon, hatimaye ametoa wimbo wake mpya unaoitwa take ur place aliomshirikisha mwanamuziki kutoka Nigeria Kizz Daniel

Tangu wimbo huo kutoka umeendelea kufanya vizuri nchi nyingi, huku ukipigwa sehemu mbalimbali za kumbi za starehe 

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey