Sambaza

Mkubwa Fela athibitisha WCB kuanzisha timu ya Mpira

Meneja wa msanii Diamond Platnumz amefunguka kuhusiana na zile tetesi za kuwa Wasafi media kuanzisha timu yao ya mpira wa miguu.

Mkubwa fela amethibitisha hilo na kusema kuwa “Ni kweli WCB tuko kwenye mchakato wa kuanzisha Academy yetu ya mpira wa miguu na suala hilo analisimamia Salam au Mendez”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey