Sambaza

Montana amfanyia kufuru Drake

Staa wa Muziki wa Hip Hop, French Montana amemfanyia kufuru msanii mwenzake kwenye muziki huo, Drake kwa kumzawadia cheni ya mkononi yenye thamani ya dola laki 175 (zaidi ya shilingi milioni 400 za Kibongo).

Kwa mujibu wa Mtandao wa Page Six, Montana amefanya hivyo kama sehemu ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Drake ambapo alikuwa akitimiza miaka 33.

Wawili hao, wamekuwa washkaji wa muda mrefu, kama utakumbuka wameshawahi kuibuka na ngoma za pamoja kama vile No Stylist na No Shopping.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey