Rhino king na Bi Aisha kwa mara ya kwanza wanafanya Kazi pamoja. Wote ni wasaniii kutoka katika Label za muziki mbili tofauti. RHINO yuko chini ya KWETU STUDIOS akiunda kundi la THE MAFIK na BI AISHA ni msanii kutoka Label ya LAST BORN. Wanakukaribisha kutazama na kusikiliza nyimbo yao inayoitwa SHOW ME LOVE ikiwa na maana nionyeshe upendo.