Sambaza

Mchumba wa Burna Boy Afundwa Tamaduni za Nigeria

Rapper wa Uingereza, Stefflon Don anajifunza mengi kutoka kwa mchumba wake wa Nigeria, Burna Boy, haswa utamaduni wake na vitu mbali mbali. Rapa huyo  alionekana akiimba na kucheza  Yoruba alipokuwa akifanya tamasha

Katika video nyingine inamuonyesha stefflon don akijifunza aina mbali mbali za kucheza kama vile Zanku staili ambayo hutumika sana Nchini Nigeria

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey