Sambaza

Idris Sultan atakiwa kujisalimisha polisi kwa kosa hili

Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda amemtaka mchekeshaji  Idris Sultan kufika kituo chochote cha polisi, kufuatia msanii huyo kuhariri picha ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kuichapisha kwenye mitandao ya kijamiii.

Mchekeshaji huyoameagizwa kwenda katika kituo chochote cha polisi, atakuta ujumbe wake.  Kupitia ukurasa wake wa Instagram, RC Makonda ametoa agizo hilo kwa maelezo kuwa mchekeshaji huyo hajui mipaka ya kazi yake.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey