Sambaza

Mchekeshaji Maarufu John Witherspoon Afariki Dunia

Mchekeshaji maarufu John Witherspoon Afariki dunia jana Jumann, Oktoba 29, 2019, akiwa na umri wa miaka 77, nyumbani kwake, Los Angeles nchini Marekani.

 

Familia yake ilithibitisha habari hiyo Jana usiku kwenye Twitter, ikitoa taarifa ambayo ilisema, “Ni kwa huzuni kubwa tunatangaza kifo cha Ndugu yetu Baba yetu mpendwa wetu John Whitherspoon…R.I.P

 

John amewahi kutamba kwenye filamu kadhaa zikiwemo The Jazz Singer na Boomerang, na nyinginbe kibao zilizomuingia mkwanja mrefu na kumpa umaarufu duniani kote.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey