Sambaza

Ahukumiwa kwenda jela miaka 14 kwa kosa la kumuua mwanamuziki

Mahakama Kuu nchini Uganda imemuhukumu Godfrey Wamala kifungo cha miaka 13, miezi 3 na siku 4 kwa kosa la kumuua mwanamuziki wa Uganda Moses Ssekibogo maarufu Mowzey Radio.


Godfrey alipatikana na hatia hiyo siku ya Jumatatu ambapo mashtaka yake yalisomwa ikiwa ni Mwaka sasa tangu Mwanamuziki huyo afariki baada ya ghasia zilizotokea eneo la Ukumbo wa Starehe mjini Kampala.

Moses alifariki Mwanzoni mwa Mwaka huu kutokana majeraha aliyoyapata baada ya kupigwa katika mzozo uliotokea kwenye kilabu kwa jina ‘De Bar’.
:
Kesi hiyo ilikuwa ikiendeshwa na Jaji Jane Abodo katika Mahakama Kuu mjini Entebbe, Jaji alitoa hukumu hiyo kwa Godfrey Wamala, baada ya Godfrey kukaa mahabusu kwa mwaka 1 sasa.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey