Sambaza

Harmonize; kuiteka Dar leo

Rajab Abdul Kahali a.k.a Harmonize leo Alhamisi Oktoba 31, 2019 atawaburudisha mashabiki wake na watu wanaopenda muziki wa Bongo Fleva bure katika viwanja vya Zakhem-Mbagala jijini Dar Es Salaam.

Kwenye show hiyo ya utambulisho wa ngoma yake mpya ya UNO utakuwa na orodha ndefu ya wasanii wa Bongo Fleva akiwemo Maua Sama, Q-Chief, Mzee wa Bwax, Linah, Msaga Sumu, Quick Rocka, Mimi Mars, Young Lunya, Country Boy na wengineo.

Huu ni muendelezo wa utambulisho wa wimbo wake wa UNO ndani ya Jiji la Dar Es Salaam, Ambapo ameshafanya hivyo kwa wilaya ya Ilala na baadhi ya nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Kenya na Uganda.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey