Sambaza

Fally atupia Jaketi la Mil. 53

UKIAMBIWA kuna wakali wa muziki Afrika wanajua kutupia usifi kirie utani aisee! Maestro wa muziki wa Dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Fally Ipupa ametokelezea na jaketi lenye thamani ya shilingi milioni 53 za Kibongo kwa usiku mmoja tu. Fally alitokelezea hivyo kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo za AFRIMMA zilizofanyika Oktoba

25, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Lofty Spaces pande za Dallas nchini Marekani. Jaketi alilotupia mkali huyo anayetikisa na Ngoma ya A Flye lina chata ya Louis Vuiton. Fally ni miongoni

mwa mastaa wa muziki Afrika wanaopenda kutupia pamba za gharama. Katika usiku huo, Fally alikwenda kuhudhuria tuzo hizo maalum ambapo alinyakua moja kupitia Kipengele cha Msanii Bora wa Afrika Mashariki ya Kati.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey