Sambaza

WIZ KID KULING’ARISHA TAMASHA LA WASAFI 


STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefunguka kuhusu  nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria anayefahamika kama @wizkidayo, kama miongoni mwa watakaoshiriki katika Tamasha la Wasafi litakalofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 09.11.2019. Pia  alisema kuwa “Wasafi Festival itaanza mapema na kutakuwa na mashindano ya kuimba, Mshindi atapata Tsh. Millioni 10 na nafasi ya kusainiwa WCB Wasafi, kutakuwa na mashindano ya Dancers ambapo washindi pia watapata zawadi ya Tsh. Million 10 na nafasi ya kufanya kazi na wasanii wa WCB.

 

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey