Sambaza

Burna Boy aibuka mshindi tuzo ya MTV EMA Best African Act, Harmonize Apigwa chini

Star wa Muziki kutoka Naija Burna Boy  amenyakua tuzo ya MTVEMA kwenye kipengele cha Best African Act Kwenye kipengele hicho alikua akichuana na  Harmonize  ambaye ndiye muwakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki na wengine waliokuwa wakichuana katika kipenegele hiko ni  Nasty C, Teni, Prince Kaybee pamoja na Toofan.

Hata hivyo Burna Boy na Harmonize hivi karibuni wameonekana kuwa na urafiki wa nguvu hata kupekelekea kushirikishana katika kazi zao kadha wa kadha ikiwamo wimbo wao wa pamoja ujulikanao kama Kainama’ wakiwa na Diamond Platnumz. Burna Boy Pia alisikika katika EP (Extended Playlist) ya Harmonize iliyokwenda kwa jina la Afro Bongo iliyotoka rasmi February 25, 2019.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey