Sambaza

‘Jesus Is King’ ya Kanye West yakamata namba 1 ya Billboard 200 chart

Album ya Kanye West “Jesus Is King” imekamata namba 1 katika chart za album bora (Billboard 200) ikiwa ni ndani ya wiki moja tangu iachiwe rasmi ambapo imeuza jumla ya nakala 264,000.

Hii inamfanya Kanye kufikisha album 9 ambazo zote zilitoka na kukamata namba 1 mfululizo, kuanzia mwaka 2005. Album ambayo haikuwa kwenye mtiririko huo ni “College Dropout” ya mwaka 2004 ambayo ilikamata namba 2.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey