Sambaza

McGregor ataka pambano na 50 Cent

Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, Bingwa wa zamani wa UFC McGregor  ametaka pambano litakalomkutanisha yeye na Rapper 50. McGregor amesema hayo baada ya 50 cent kumdhihaki mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii, ‘lazima niseme ukweli ningependa nipambane na 50 cent’ alisema maneno hayo wakati akifanya mkutano na waandishi wa habari.

Katika twitter mbali mbali 50 cent ameonekana akimnanga bingwa huyo wa zamani kutoka na kupoteza mapambano mbali mbali na kuonekana kiwango chake kinazidi kudhohofika..

 

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey