Sambaza

Solange Knowles atengana na Mumewe Alan Ferguson

Dada wa mwanamuziki wa Marekani Beyonce anaefahamika kwa jina la Solange Knowles kwa masikitiko makuwa  kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram ameweka wazi kutengana na mume wake aliyeishi nae kwa miaka mingi

Muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 33 Kupitia post yake ya instagram aliamua kuweka bayana kutenga na mume wake na kuandika maneno haya “Miaka 11 iliyopita nilikutana na mtu mzuri ambaye alibadilisha kila kitu kwenye maisha yangu lakini mapema mwaka huu kumetokea tafrani iliyopelekea mimi na mume wangu kutengana..

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey