Sambaza

Jux afurahia mahusiano mapya ya Vanessa Mdee

Aliyekua Boyfriend wa Vanessa Mdee  Jux amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mahusiano mapya ya mpenzi wake wa zamani Vanessa Mdee

JUX amesema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kituo kimoja cha redio nchini Kenya na kusema kuwa anafurahi kuona mpenzi wake huyo wa zamani yupo kwenye mahusiano mapya

‘Kwa sababu unajua katika mapenzi ikawa watu wanapendana sana, mmoja akamove on mmoja akabaki, kuna mambo inakua hayaendani sawa drama nini, vitu mingi sana lakini ikiwa nyinyi wote mko katika good space kila mtu ana furaha automatically inaenda baadaye mko sawa. Mimi all I want is peace kila mtu akue na furaha, kwa hivyo to be honest mi nimefurahi sana sana sana. I’m sure she’s happy now, awe na furaha na aendelee na kazi yake’, amesema Jux

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey