Sambaza

Baada ya Kanye West kuokoka, Haya ndio mambo anayoyafanya kwa sasa

Kim Kardashian ameeleza mambo mengi ambayo mume wake Kanye West anayafanya kwa sasa baada ya Kuokoka. Amesema malezi yake kwa watoto yamebadilika sana kulinganisha na awali.


Kwenye episode mpya ya kipindi cha The Real, Kim amesema Kanye amekuwa muangalifu na mchukua tahadhari mkubwa ndani ya familia yao ikiwemo kuondoa televisheni zote ndani ya vyumba vya watoto. Pia ameongeza ukali kwenye malezi na kupunguza vitendo vya wao wawili mbele ya watoto.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey