Sambaza

Chris Brown awaita mashabiki nyumbani kwake, awauzia nguo alizowahi kuzivaa

Msanii Chris Brown alikuwa na mnada wa uuzwaji bidhaa zake ambazo tayari ameshazitumia au kuzivaa hasa nguo na viatu,siku Jumatano nyumbani kwake Los Angeles, na mamia ya mashabiki, walanguzi na wanaotafuta biashara wakisubiri masaa mengi kujaribu kupata bidhaa kutoka kwa mwimbaji mwimbaji huyo.

Brown alituma vipeperushi kwenye akaunti yake ya Instagram na Twitter Jumanne usiku ambayo ilijumuisha anwani ya jumba lake lililopo katika kitongoji cha Tarzana kwenye Bonde la San Fernando Los Angeles Marekani.

ujumbe ulisomeka  “DA CRIB … tukio la siku 2” akiweka pamoja na emoji ya moyo.

Brown, ambaye mara nyingi anajulikana na jina lake la utani Breezy, alililipata jukwaani mnamo mwaka 2005,na ikumbukwe  alishinda tuzo ya Grammy mnamo 2011 kwa albam bora ya R&B na anabaki kuwa major hitmaker mkubwa. Albamu yake mpya “Indigo” ilikwenda mpaka Na. 1 wakati ilitolewa mnamo Juni, mwaka 2-019 huku wimbo wake wa “No Guidance” featuring Drake and he’s ukiwa nominated for a pair of American Music Awards

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey