Sambaza

LeBron James kujenga makazi ya kuishi kwa wazazi wa wanafunzi wa shule yake

Baada ya mwaka jana kuwapa nafasi ya kupata elimu watoto waishio katika mazingira magumu kwenye mradi wake wa shule  Ipromise , Nyota wa Kikapu nchini Marekani Lebron James ametangaza na kuwajengea nyumba wazazi wa wanafunzi hao.

Mtoto hawezi kusoma kwenye shule nzuri halafu anaishi kwenye nyumba yenye changamoto, hivyo Lebron ameamua kujenga nyumba za muda mfupi (temporary houses) kwa ajili familia za watoto hao ambao watakuwa wakiishi hapo katika kipindi cha masomo ya watoto wao. Eneo hilo litaitwa Kijiji cha Ipromise (Ipromise Village) na ujenzi utaanza hivi karibuni.

“Initially, our work was focused on helping these kids earn an education. But we’ve found that it is impossible to help them learn if they are struggling to survive — if they are hungry, if they have no heat in the freezing winter, if they live in fear for their safety.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey