AliKiba amtambulisha msanii mpya Kings Music Records
Mfalme wa Bongo Flava AliKiba ametangaza kuongeza kichwa kingine ndani ya label yake, Kings Music Records na kufikia wasanii watano, Jana kwenye Tamko Rasmi ametaja kumsaini mwimbaji Tommy Flavour • AliKiba amesema kwenye utunzi na uimbaji ‘melodies’ Tommy Flavour yuko Level za mbali.
Kings Music iliyokuwa na wasanii Wanne (Cheed, K2GA, Killy na Abdu Kiba) tayari imefanya kazi tatu zikiwemo: Sina, Toto na Rhumba.
Toa Maoni Yako Hapa