John Cena alivyomsuprise Sho madjozi kwenye kipindi cha The Kelly Clarkson Show – Video
Mwimbaji wa Afrika Kusini Sho Madjozi ambae hivi karibu alipata mwaliko katika kipindi kiitwacho The Kelly Clarkson Show kilichopo huko nchini Marekani.
Sasa Madjozi alifanyiwa suprise ya aina yake baada ya kuletewa mcheza mieleka maarufu John Cena huku Madjozi akiimba wimbo wake unaokwenda kwa jina la John Cena, unaweza ukaitazama hapa ilivyokuwa
Madjozi anaingia kwenye orodhaa ya wasanii wachanga wanaokuja kwa kasi kutokea Afrika.
Toa Maoni Yako Hapa