Sambaza

Linex amcharukia Harmonize kwa kujiita ‘Mjeda’

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Linex Sunday Mjeda amtaka Harmonize kubadilisha jina analoojiita ‘MJEDA’
Kwa sasa Harmonize anatumia jina la Jeshi jina ambalo ni kama a.k.a yake mpya ambayo anapenda kuitumia. Kwenye post yake kupitia mtandao wa instagram Harmonize alijiita ‘MJEDA’ kitu ambacho kilionekana si chema kwa Linex ambaye hutumia jina hilo

Linex aliamua ku comment kwenye post hiyo ya Harmonize kwa kuandika ‘Check jina lingine bro my name is Linex Sunday Mjeda’.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey