KIMEWAKA: Ebitoke amfanyia vurugu Mlela
Mchekeshaji Annastazia Exavery maarufu kama ‘Ebitoke’ ameuvamia mkutano wa Mwigizaji Mlela na Waandishi wa Habari Dar es salaam na kutaka kupigana wakati Mlela akizungumza na Waandishi huku akiwa ameongozana na Mpenzi wake mpya baada ya kuachana na Ebitoke.
Wakati wa vurugu hizo Mwanaume anaeaminika kuwa Kaka wa Ebitoke alisikika akimwambia Mlela “umemuharibia maisha mdogo wangu, unafanya mambo gani?
Toa Maoni Yako Hapa