Sambaza

Nicki Minaj kujitoa kutumia mtandao wa Instagram, Sababu hii hapa…

Nicki Minaj atangaza kuikacha instagram baada ya CEO wa mtandao huo Adam Mosseri kutoa taarifa kwamba wataondoa uwezo wa mtumiaji kuona LIKES kwenye post yake kuanzia wiki ijayo.


Nicki Minaj alienda kwenye insta stories yake na kueleza kwamba instagram wameamua kufanya hivyo ili kuwanyima madili watu wenye ushawishi mkubwa ambao walikuwa wanategemea kuonesha idadi ya LIKES ili kupata matangazo mbali mbali. Alienda mbali zaidi na kusema wanataka watu wote waanze sasa rasmi kuwalipa instagram kwa kutumia njia ya ‘Promotion’

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey