Sambaza

Hanscana: Mabifu Yanaua Bongo Fleva

MKALI wa kuandaa video za muziki Bongo, Hanscana amefunguka kuwa bifu kati ya msanii na msanii zinachochea kifo cha soko la Bongo Fleva.

Hanscana ameiyambia Over Ze Weekend kuwa tofauti iliyopo kati ya Harmonize na Mondi au Mondi na Kiba ni chanzo cha kudumaza muziki huo.

“Haya mambo ya mabifu yanaharibu sana biashara hasa kwa sisi waandaaji wa muziki huo na baadhi ya wasanii. Mfano; unakuta msanii anapafomu labda kwenye shoo ya Uno ya Harmo, basi watu wengine watachukulia kigezo hicho kumtosa msanii huyo kwenye shoo nyingine,” alisema Hanscana na kuongeza; “Hayo mabifu tunaomba yaishe kwani yanatuathiri mno.”

AMMAR MASIMBA

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey