Sambaza

Prezzo afunguka issue ya kubakwa na wasichana ‘Nitawachukulia sheria’

Rapper wa Kenya Prezzo amekanusha taarifa za kukimbizwa hospitali na kulazwa baada ya Kubakwa na wasichana watatu hotelini.

Vyanzo vya habari nchini Kenya viliandika kwamba Prezzo amelazwa katika hospitali ya Karen mara baada ya kuchanganyiwa dawa za kulevya aina ya Cocaine na Viagra na kulewa kisha Kubakwa na wasichana watatu katika chumba kimoja cha hoteli.

Kupitia instagram yake akiwa LIVE Prezzoo amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote na yupo salama kabisa. Ametangaza pia kuwachukulia hatua wote ambao wamekuwa wakimchafua kwa kuandika taarifa za kupotosha kuhusu yeye.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey