Sambaza

Rapper Desiigner atemana na Kanye West, Aanzisha Label yake

Rapper Desiigner atangaza rasmi kujitoa ndani ya G.O.O.D Music, label ya inayomilikiwa na Kanye West.

Nyota huyo aliyetamba na Hit ya Panda ameitumia IG LIVE kutoa tamko hilo ambapo ni baada ya muda mrefu wa kulalamika kutopatiwa msaada wowote na label hiyo katika kazi zake.

Aliongeza kwa kusema kuwa kwa sasa yupo kwenye label iitwayo L.O.D ambacho kifupisho cha ‘Life Of Desiigner’ iliyokuwa EP yake ya mwaka 2018.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey