Sambaza

Idris Sultan amuomba msamaha JPM – Video

MSANII  maarufu wa vichekesho Bongo Idris Sultan  amemuomba radhi Rais wa Tanzania John Magufuli kutokana na kuhariri picha ya kiongozi mkuu huyo wa nchi na kuiweka katika ukurasa wa mtandao wake wa kijamii wa Instagram.
Idris ameomba radhi hiyo leo alipokuwa na mkutano na waandishi wa habari.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey