Sambaza

Rosa Ree afungiwa kwa miezi 6 kufanya sanaa

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limemfungia msanii wa Bongofleva nchini Tanzania, Roza Ree kutojihusisha na muziki kwa miezi 6 kutokana na video ya wimbo wa Vitamin U aliyoshirikishwa na msanii Timmy Tdat wa Kenya.

Akithibitisha taarifa hizo, Kaimu Katibu Mkuu Mtendaji BASATA, Onesmo Kayanda amesema kuwa msanii huyo pia amepigwa faini ya Tsh. milioni 2 kwa kosa la kufanya kazi za sanaa nje ya nchi bila kibali kutoka BASATA kama sheria inavyotaka.

Wimbo huo wa ‘Vitamin U’ uliomponza Rosa Ree, Ameshirikishwa na msanii mwenzie kutoka Kenya, Timmy Tdat.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey