Sambaza

Nicki Minaj kupewa heshima hii na Billboard…

Tamasha la 14 la Billboard Women in Music limerudi tena na safari hii linafanyafika Mjini Los Angeles, Tamasha hili limelenga kutoa heshima kwa wanawake wanaofanya shughuli zao katika sanaa ya Muziki na kufikia hatua za mafanikio, Katika orodha ya watu amabo watapewa heshima hiyo kwa mwaka huu ni pamoja na Alanis Morissete, Nicki Minaj, Brandi Carlile na Afisa Mkuu wa Roc Nation Desiree Perez.

Minaj atachukua tuzo ya “Game Changer” baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kufika  kwenye chati ya Billboard Hot 100.

“Billboard Women in Music,”  ni fursa ya kila mwaka kusherehekea wanawake wenye ushawishi walio kwenye  tasnia,  Mwaka huu, kwa heshima  Alanis Morisette, Brandi Carlile, Desiree Perez na Nicki Miniaj, ndio wamepata nafasi kubeba heshima hiyo.  ” Alisema hayo Mkurugenzi Mhariri wa Billboard Hannah Karp.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey