Sambaza

Mwakyembe atoa kauli wasanii wanaotoa nyimbo za siasa “Nina shahada nne halafu msanii hajaenda hata shule anakosoa”

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amewataka wasanii wa miondoko ya HipHop nchini kuachana na muziki ya kuikosoa serikali ili waanzishe vyama vya siasa.

Kauli ya Mwakyembe imekuja ikiwa ni siku chache toka Roma aachia wimbo unaojulikana kwa jina la Anaitwa Roma aliomshirikisha One Six.

“Kama msanii unang’ang’ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi aamue kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa.

“Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi.

“Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa.”

 

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey